RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEONGOZA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA JIMBO LA DONGE NA MKUU WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA MAREHEMU PEMBE JUMBA KHAMIS KIJIJINI KWAO DONGE CHANJANI LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na Chama,Wananchi na Wanafamilia wa Marehemu Pembe Juma Khamis, wakiitikia dua ya kumuyombea Marehemu Pembe Juma Khamis, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Donge na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti iliyofanyika katika Msikiti wa Donge Chanjani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo 6-3-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Pembe Juma Khamis, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Donge na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,maziko yaliyofanyika Kijiji kwao Donge Chanjani Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja leo 6-3-2023.(Picha na Ikulu)
Post a Comment